Darassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Darassa
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaShariff Thabit Ramadhan
Amezaliwa(1988-09-03)Septemba 3, 1988 (age 35)
Kazi yake

Shariff Thabit Ramadhan (maarufu zaidi kama Darassa[1]; amezaliwa Septemba 3 1988) ni rapa kutoka Tanzania, aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake Muziki alioutoa mwaka 2016 akishirikiana na Ben Pol.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya muziki mwaka 2014 alipotoa wimbo Sikati Tamaa. Kisha akachukua mapumziko, alirejea tena mwaka 2016 na wimbo Utanipenda akimshirikisha Rich Mavoko pia alitoa wimbo wa Muziki akimshirikisha Ben Pol, wimbo ambao ulichezwa zaidi Afrika Mashariki.[3] Kwa mara nyingine Darassa alichukua mapumziko kabla ya kuibuka tena mwaka 2018.[4]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu

  • 2020: Slave becomes a King

Nyimbo

  • Proud of you ft Ali Kiba
  • I like it[10] ft Sho Madjozi
  • Waiter ft Mr Burudani
  • Umeniroga ft Kassim Mganga
  • Nimetumwa Pesa
  • Loyalty ft Nandy & Marioo
  • Size yao ft Dogo Janja
  • Usiniletee shida ft Femi One
  • Blessings ft Abbah & Mr. T Touch
  • Hands Up ft Maua Sama
  • Lock me down ft Jaiva
  • My life ft Chibwa & Marisa
  • Utanitoa roho
  • Segedance ft Rich Mavoko
  • Shemeji ft Barakah The Prince
  • Hasso
  • Nikiondoka
  • Hater
  • Nana ft G Boy
  • Boss it ft Ben Pol

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "PHOTOS: Tanzanian rapper Darassa living the good life". The Standard Entertainment (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-02-07. 
  2. "Tanzania Rapper Darassa Claims He Made No Money With Hit Song ‘Muziki’ Despite over 20M Youtube Views". Zanko News (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-02. 
  3. "Darassa makes shocking revelation over hit song ‘Muziki’". Nairobi Review (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-02. Iliwekwa mnamo 2022-03-02. 
  4. "Why Darassa took a break after 'Muziki'". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-03. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darassa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.