Commodus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaizari Commodus

Lucius Aurelius Commodus (31 Agosti 16131 Desemba 192) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Machi, 180 hadi kifo chake.

Alimfuata baba yake, Marcus Aurelius.

Tazama pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Commodus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.