Chuo cha Closys

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Closys College (ክሎሲስ ኮሌጅ) ni taasisi ya elimu iliyopo katika mji wa Mekelle,kusini mwa mkoa wa Tigray nchini Ethiopia, kilometa 783 kutoka mjii mkuu wa Addis Ababa.