Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
FB_1-1
Chuo kikuu cha Cadi Ayyad

Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad ni chuo kikuu kilichopo huko Marrakesh, kimoja kati ya vyuo vikuu vikubwa nchini Moroko. Pia ni kimoja kati ya vyuo vinavyohusiana na École nationale des sciences appliquées de Marrakech, kilichoundwa mnamo mwaka 2000 na moja kati ya wizara ya elimu huko nchini Moroko kilichobobea katika maswala ya uhandisi na utafiti wa kisayansi.Chuo cha Cadi Ayyad kilizinduliwa mnamo mwaka 1978 na kilifanya kazi na taasisi kumi na tatu katika mkoa wa Marrakesh-Safi huko Moroko katika miji minne mashuhuri, ikiwa ni pamoja na Kalaa Sraghna, Essaouira na Safi, pamoja na mji wa Marrakesh.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The University". Cadi Ayyad University. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 November 2012. Iliwekwa mnamo 28 October 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.