Chuchu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Chuchu ya mwanamke

Chuchu ni kichirizi kinachounganisha kwa viwele. Mamalia wa kike (na wanawake) hutumia chuchu kwa ajili ya kunyonyesha watoto wadogo. Ziwa la mamalia wa kike na kiume limetengenezwa kwa muundo mmoja. Uzalishaji wa maziwa kwa ajili ya kunyonyesha unadhibitiwa na homoni. Hii ina-manaa kwamba wanaume hawawezi kutumia maziwa kuzalisha maziwa (isipokuwa ikiwa wana matatizo na homoni zao).