Chima Akas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chima Akas Uche (alizaliwa 3 Mei 1994) ni mwanasoka wa kimataifa wa Nigeria ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Belenenses ya Ureno, Pia ameiwakilisha timu ya taifa ya Nigeria.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Uche Baada ya kuitwa kwenye kikosi kamili cha kimataifa cha Nigeria, Akas alikuwa chini ya ofa kutoka katika klabu ya Enyimba na Akwa United.[1][2][3]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Hadi mechi iliyochezwa tarehe 20 Aprili 2017. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Akwa United capture Chima Akas". goal.com. 5 February 2016. Iliwekwa mnamo 3 May 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Chima Akas signs for Akwa United". Daily Post Nigeria. 7 February 2016. Iliwekwa mnamo 3 May 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Akwa United seals deal on Chima Akas". Anambra Broadcasting Service. 7 February 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 April 2018. Iliwekwa mnamo 3 May 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. Chima Akas at National-Football-Teams.com

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chima Akas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.