Changchun
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Changchun | |||
|
|||
| Nchi | China | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Jilin | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 3,581,000 | ||
| Tovuti: www.changchun.gov.cn | |||
Changchun (長春) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Jilin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 7.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 222 kutoka juu ya usawa wa bahari.
| Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Changchun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |