Cerro Torre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Cerro Terro mnamo mwaka 1987

Cerro Torre ni mlima wa Andes katika nchi za Ajentina na Chile (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 3,133 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]