Candy Augustine Agbane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Candy Augustine Agbane

Candy Augustine Agbane, (alizaliwa 22 Desemba, 1996) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye anacheza nafasi ya winga katika klabu ya Ligi Kuu ya Bangladesh, Chittagong Abahani. [1]

Ushiriki Katika klabu[hariri | hariri chanzo]

Ikorodu United Candy Alianza uchezaji wake akiwa na klabu ya Ikorodu United F.C. katika Ligi Kuu ya Nigeria.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gazetesi, Gündem Kıbrıs. "KTFF Disiplin Kurulu toplandı". gundemkibris.com (kwa Kituruki). 
  2. "Champions Enyimba lose, 4 away wins herald league season openers". pmnewsnigeria.com. Iliwekwa mnamo 24 March 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Candy Augustine Agbane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.