Buta
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Buta | |
| Mahali pa mji wa Buta katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 2°48′N 24°44′E / 2.8°N 24.733°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Mkoa | Wele Chini |
| Wilaya | Buta |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 50,130 |
Buta ni mji mkuu wa mkoa wa Wele Chini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 50,130.
[hariri] Tazama pia
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Buta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |