Bunmi Kayode

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bunmi Kayode
Amezaliwa 13 Aprili 1985
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa Soka

Bunmi Kayode (alizaliwa 13 Aprili 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki kwenye timu ya taifa ya wanawake nchini Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2003.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 2003 - Technical Report". FIFA Women's World Cup United States 2003. FIFA. 2003. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-26. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bunmi Kayode kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.