Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Bukhungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bukhungu Stadium)

Uwanja wa michezo wa Bukhungu ni uwanja wa michezo mbalimbali na unapatikana katika mji wa Kakamege nchini Kenya. Uwanja huu unabeba takribani mashabiki 5,000 (elfu tano) [1] Archived 8 Juni 2021 at the Wayback Machine..Uwanja huu hutumika haswa kwa michezo ya mpira wa miguu (soka).Michezo mingine kama vile riadha hufanyikia hapo. Pia, michezo ya shule za upili hufanyikia hapo, mikutano ya hadhara kama vile mkutano ule wa Mwai Kibaki na Michael Kijana Wamalwa wa mwaka 2002, walipotangaza kuwa chama chao cha NAK kingeungana na kile cha Rainbow Alliance kilichoongozwa na Raila Odinga.

Western Stima FC

[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huu unatumika na timu ya Western Stima FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kandanda ya Kenya kama uwanja wa nyumbani.[2].

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bukhungu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.