Blogu za maandishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Blogu za maandishi ni aina ya blogu ambayo inatumika kuelimisha jamii mtandaoni kupitia maandishi. Kuna mabilioni ya aina hiyo na bado zinazidi kuanzishwa kila kukicha.

Baadhi ya blogu hizo hutumika kusaidia watafutaji mtandaoni kupata majibu ya maswali yanayowatatiza kama vile za kifedha, kiafya, maradhi, madawa, udaku, aina za fasheni, siasa, habari za hivi punde, na pia nyingine hutoa mafunzo ya kielimu na pia ya kuanza blogu na kufanikiwa kupata pesa mtandaoni.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.