Biladi, Biladi, Biladi
Mandhari
Biladi, Biladi, Biladi (بلادي بلادي بلادي, yaani "Nchi yangu") ni wimbo wa taifa wa Misri tangu mwaka 1979.
Nota na maneno vimetungwa Sayed Darwish (1892-1932).
Kwa Kiarabu cha Misri
[hariri | hariri chanzo]- Biladi biladi biladi laki hubbi wa fuadi
- Biladi biladi biladi laki hubbi wa fuadi
- Misr ya umm al bilad inti ghayati wal murad
- Wa 'ala kull il 'ibad kam lineelik min ayadi
Kwa Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu, moyo wangu imejaa na upendo kwako.
- Nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu, moyo wangu imejaa na upendo kwako.
- Ewe Misri mama wa nchi zote, ndiwe matumaini na hamu yangu
- Nani anaweza kutaja baraka zote za Nile yako kwa ajili ya ubinadamu?