Basili wa Antiokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Basili wa Antiokia alikuwa Mkristo wa Siria anayeheshimiwa tangu kale na kukumbukwa kama mtakatifu mfiadini tarehe 20 Novemba[1].

Inaonekana aliuawa kwa ajili ya imani yake kabla ya mwaka 300.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.