Bahari ya Shamu, Sudan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Bahari ya Shamu katika Sudan
Bahari ya Shamu Kiarabu: البحر الأحمر inayotafsiriwa kama: al-Bahr al-Ahmar) ni moja ya Wilayat au majimbo 26 ya Sudan. Lina ukibwa wa eneo la 218,887 km ² na wakaazi wanaokadiriwa kuwa 700,000 (2000). Port Sudan ndio mji mkuu wa jimbo hili. Sudan bado inadai, lakini haina udhibiti katika Hala'ib Triangle, mkoa ambao umekuwa chini ya utawala wa Misri tangu 2000.
Anwani ya kijiografia: 19°35′N 35°37′E / 19.583°N 35.617°E Kigezo:Makala ya mbegu ya jio ya Sudan
| Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Shamu, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|||||||