Darfur Kaskazini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anwani ya kijiografia: 16°4′N 25°28′E / 16.067°N 25.467°E
Darfur Kaskazini (Kiarabu: شمال دارفور; inayotafsiriwa kuwa: Shamal Darfor) ni mojawapo ya wilayat au majimbo 26 ya Sudan. Ni mojawapo ya majimbo yanayojumuisha kanda ya Darfur . Lina ukubwa wa eneo wa 296,420 km ² na idadu ya wakaazi wake wanakadiriwa kuwa 1,583,000 (2006). Al-Fashir ndio mji mkuu wake. Miji mingine muhimu ni pamoja na miji ya Kutum na Tawila.
Historia ya Darfur Kaskazini ni sawa na ile ya Darfur.
Viungo vya nje [hariri]
- "Fresh hopes for North Darfur" by Julie Flint, BBC News From Our Correspondent, 14 Juni 2007
|
|
|||||||