Azam Sports HD1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azam Sports HD1 ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho habari za michezo mbalimbali ya ndani na hata nje ya Tanzania na kupatikana katika nchi za Afrika Mashariki na duniani kote kupitia [[1]].

Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group pamoja na vituo vingine mbalimbali.