Ayaka Yashita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayaka Yashita (alizaliwa 29 Septemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Iwabuchi left out of Japan's World Cup squad", BBC Sport. (en-GB) 
  2. "Ayaka Yamashita". Japan Football Association. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayaka Yashita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.