Aniella Uwimana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aniella Uwimana
Amezaliwa 17 Novemba 1999
Burundi
Nchi Burundi
Majina mengine Nella
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa Miguu


Aniella Nella Uwimana amezaliwa tarehe 17 novemba 1999. Ni mchezaji wa kike wa mpira wa miguu kutokea Burundi ambaye kwa sasa anacheza kama mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya taifa ya wanawake Burundi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Burundi earn maiden WAFCON ticket after double against Djibouti". CAFOnline (kwa Kiingereza). CAF-Confedération Africaine du Football. Iliwekwa mnamo 2022-02-25. 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]