Anarkali Kaur Honaryar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anarkali Kaur Honaryar ni mwanasiasa wa Sikh wa Afghanistan.[1] Yeye pia ni mwanaharakati wa haki za wanawake na daktari wa meno.[2]

Kulikuwa na Wasikh na Wahindu wapatao 30,000 pekee nchini Afghanistan, Anarkali Kaur Honaryar ni mmoja wao. Yeye ni mjumbe wa kwanza asiye Mwislamu katika Bunge la Afghanistan.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "2011 UNESCO-Madanjeet Singh Prize for the Promotion of Tolerance and Non-Violence to be awarded to Anarkali Honaryar (Afghanistan) and Khaled Abu Awwad (Palestine)". UNESCO. 16 November 2011.  Check date values in: |date= (help)
  2. Sambuddha Mitra Mustafi. "Afghanistan's Sikh heroine fights for rights". 
  3. "Dr. Anarkali Kaur Honaryar". Sikh Foundation International. Iliwekwa mnamo 13 September 2023.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anarkali Kaur Honaryar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.