Anaheim, California
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Anaheim | |
| Ukumbi wa Anaheim | |
| Mahali pa mji wa Anaheim katika Marekani | |
| Anwani ya kijiografia: 33°50′00″N 117°53′00″W / 33.833333°N 117.883333°W | |
| Nchi | Marekani |
|---|---|
| Jimbo | California |
| Wilaya | Orange |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 348,467 |
| Tovuti: http://www.anaheim.net/ | |
Mahali pa Anaheim katika Orange County na California
Anaheim ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 350,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 48 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 131 km².
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Anaheim, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |