Ambari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ambari ni kitu chenye rangi ya majivu. Inafanywa na nyangumi tumboni. Ina harufu ya kiundongo inapofanywa lakini baada ya wakati hupata harufu tamu kama manukato ya alkoholi ethili.
Viungo vya Nje [hariri]
- Natural History Magazine Article: Floating Gold -- The Romance of Ambergris
- Ambergris - A Pathfinder and Annotated Bibliography
- On the chemistry and ethics of Ambergris
- Scientific American Strange but True: Whale Waste Is Extremely Valuable
| Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ambari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |