Amanda Nildén

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nildén akipasha akiwa na Brighton & Hove Albion mnamo 2019

Amanda Nildén (alizaliwa 7 Agosti 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uswidi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nilden's Pride To Play In England". www.brightonandhovealbion.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amanda Nildén kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.