Ali, Amin Deddy Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali, Amin Deddy Mohamed ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa chama cha jubilee [JP]. Mwaka wa 2017 alichaguliwa kama mbunge wa taifa la Kenya kwa kushinda eneo mbunge la Laikipia kwenye kaunti ya Laikipia [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http//www.parliament.go.ke/the-national assembly/mps[wabunge wa taifa la kenya ,tovuti la bunge la kenya ,iliangaliwa machi tarehe 4,2022]