Alexander Severus

Kutoka Wikipedia

Sanamu ya kichwa cha Kaizari Alexander Severus
Sanamu ya kichwa cha Kaizari Alexander Severus

Alexander Severus (1 Oktoba, 208 – 18 au 19 Machi, 235) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Machi, 222 hadi kifo chake. Alimfuata Elagabalus.

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Alexander Severus" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Alexander Severus kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi