Akronimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akronimu ni neno lililoundwa kutokana na herufi au silabi za mwanzo za majina.

Mifano ni

  • BAKITA, ambalo ni akronimu kwa "Baraza la Kiswahili la Taifa",
  • TATAKI kwa "Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili",
  • NATO kwa North Atlantic Treaty Organization

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]