Absa Bank Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Absa Bank Tanzania
Makao MakuuBarclay's House, Ohio Street, Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania

Absa Bank Tanzania (zamani ilikuwa ikijulikana kama Benki ya Barclays ya Tanzania) ni benki ya biashara nchini Tanzania na kampuni ya Afrika Kusini inayotegemea kundi la Barclays Africa. Imepatiwa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, benki kuu ya nchi na mdhibiti wa benki ya kitaifa. [1]

Eneo[hariri | hariri chanzo]

Makao makuu na tawi kuu la Barclays Bank of Tanzania Limited yako Barclays House, kando na Mtaa wa Ohio, katika jiji la Dar es Salaam.[2]

Kijiografia makao makuu ya Benki ya Backlays ni: 06°48'40.0"S, 39°17'12.0"E (Latitude:-6.811111; Longitude:39.286667).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bank of Tanzania (30 June 2017). "The Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as at 30th June 2017" (PDF). Dar es Salaam: Bank of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Barclays Bank of Tanzania (8 May 2018). "Barclays Bank of Tanzania Limited: Head Office". Dar es Salaam: Barclays Bank of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. https://www.google.com/maps/place/6%C2%B048'40.0%22S+39%C2%B017'12.0%22E/@-6.8112298,39.2859093,117m/data=!3m1!1e3!4m5!3m4!1s0x0:0x0!8m2!3d-6.8111111!4d39.2866667
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Absa Bank Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.