Abderrazak Belgherbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abderrazak Belgherbi (alizaliwa 29 Oktoba 1961) ni mwanasoka wa Algeria.

Abderrazak Alichezea timu ya taifa ya Algeria katika mechi 16 mnamo mwaka wa 1987 na 1989.[1] Pia alitajwa katika kikosi cha Algeria kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 1988. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Abderrazak Belgherbi". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 3 May 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "African Nations Cup 1988 - Final Tournament Details". RSSSF. Iliwekwa mnamo 3 May 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abderrazak Belgherbi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.