Abdelhakim Amokrane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdelhakim Amokrane (alizaliwa 10 Mei 1994) ni mchezaji wa kandanda wa Algeria anayechezea klabu ya Al-Shorta SC ya ligi ya Algeria Professionnelle 1.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Julai 2015, Amokrane aliifungia timu ya taifa ya Algeria chini ya umri wa miaka 23 mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya Sierra Leone katika mechi ya kwanza kwenye raundi ya tatu ya kufuzu kwa Michuano ya CAF ya U-23 2015.[1]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

ES Sétif

  • Ligi ya Mabingwa CAF: 2014

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Boutebina, Bachir (July 21, 2015). "CHAMPIONNAT D'AFRIQUE U23 : ALGÉRIE 2 - SIERRA LEONE 0 Les Verts assurent et rassurent" (kwa French). L'Expression. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 25, 2018. Iliwekwa mnamo July 22, 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelhakim Amokrane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.