Mchezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuvuta kamba ni mchezo rahisi usiohitaji maandalizi wala vifaa vingi.
Wachezakarata, mchoro wa mwaka 1895, kazi ya Paul Cézanne.

Mchezo ni shughuli iliyopangwa hasa kama burudani na inayotumika pengine kwa lengo la malezi na la afya.[1]

Mchezo ni tofauti na kazi, inayofanyika kwa kawaida ili kupata malipo, na vilevile na sanaa, ambayo inalenga zaidi kutokeza uzuri au ujumbe fulani. Hata hivyo tofauti hizo si wazi kila mara, maana mambo hayo yanaweza kuchanganyikana katika tukio moja, ambalo linapendeza kwa uzuri, linaburudisha, linalea na kuleta malipo papo hapo.

Ushahidi wa kwanza wa michezo ni wa mwaka 2600 hivi KK[2][3] na kwa sasa baadhi yake imeenea duniani kote[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.merriam-webster.com/dictionary/game
  2. Soubeyrand, Catherine (2000). "The Royal Game of Ur". The Game Cabinet. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. 
  3. Green, William. "Big Game Hunter", 2008 Summer Journey, Time, 2008-06-19. Retrieved on 2008-10-05. Archived from the original on 2013-08-22. 
  4. "History of Games". MacGregor Historic Games. 2006. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: