Zionism ya Kijani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zionism ya kijani ni tawi la Zionism ambalo limejikita katika mazingira ya Israeli.Hujihusishs na masuala ya kuwepo kwa Israeli kama Ngome ya Kiisraeli.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Enter The Green Zionists". The Forward (kwa Kiingereza). 2010-06-16. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.