Zinzendorf
Mandhari
Zinzendorf inaweza kumaanisha
- kijiji cha Zinzendorf katika Bavaria (Ujerumani), sasa sehemu ya mji wa Wörth an der Donau
- mtu aliyebeba jina la familia ya kikabaila ya Zinzendorf, wenye asili katika Austria, kati ya 1114 na 1817
- Nikolaus Ludwig von Zinzendorf (1700–1760), mwanzilishaji wa Kanisa la Moravian
- Erdmuthe Dorothea von Zinzendorf (1700–1756), aliyekuwa mke wa Nkolaus na mtungaji wa nyimbo za kikristo
- Renatus von Zinzendorf (1727–1752), aliyekuwa wana wao na pia mtungaji wa nyimbo za kikristo