Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Orodha hii inahusisha wizara zote pamoja na zile ambazo hazipo katika masuala ya Muungano.
Kuhusu mawaziri waliopo angalia: Baraza la mawaziri Tanzania .
Wizara
Kiingereza
Tovuti
Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora
President’s Office Public Service Management and Good Governance
https://www.utumishi.go.tz/index.php/sw Ilihifadhiwa 19 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine .
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
President's Office Regional Administration and Local Government
https://www.tamisemi.go.tz/
Ofisi ya Makamu wa Rais
Vice President's Office
https://www.vpo.go.tz/
Ofisi ya Waziri Mkuu
Prime Minister's Office
https://www.pmo.go.tz/
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children
https://www.moh.go.tz/sw/
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
https://www.lands.go.tz/
Wizara ya Elimu, Sayansi naTeknolojia
Ministry of Education, Science and Technology
https://www.moe.go.tz/sw
Wizara ya Fedha na Mipango
Ministry of Finance and Planning
https://www.mof.go.tz/
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Ministry of Culture, Arts and Sports
https://www.habari.go.tz/ Ilihifadhiwa 19 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine .
Wizara ya Kilimo
Ministry of Agriculture
https://www.kilimo.go.tz/index.php/sw
Wizara ya Maji
Ministry of Water
https://www.maji.go.tz/
Wizara ya Maliasili na Utalii
Ministry of Natural Resources and Tourism
https://www.maliasili.go.tz/
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Ministry of Home Affairs
https://www.moha.go.tz/
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ministry of Foreign Affairs and East African Co-operation
https://www.foreign.go.tz/
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Ministry of Livestock and Fisheries
https://www.mifugouvuvi.go.tz/
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Ministry of Works and Transport
https://www.mwt.go.tz/
Wizara ya Nishati
Ministry of Energy
https://www.nishati.go.tz/
Wizara ya Sheria na Katiba
Ministry of Constitutional and Legal Affairs
https://www.sheria.go.tz/
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ministry of Defence and National Service
https://www.modans.go.tz/
Wizara ya Madini
Ministry of Minerals
https://www.madini.go.tz/
Wizara ya Viwanda na Biashara
Ministry of Industry and Trade
https://www.mit.go.tz/