Wilaya za Tanzania 4 Morogoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rejea Wilaya za Tanzania 4

Karibu kutumia matini hizi![hariri | hariri chanzo]

Karibu kunakili matini hizi na kusahihisha /kuanza makala za kata! Afadhali fungua makala ya wilaya husika na fungua katika orodha ya majina chini kwenye ukurasa kata moja baada ya nyingine katika utaratibu wa a-b-c

TAHADHARI[hariri | hariri chanzo]

  • Hakikisha ya kwamba ukurasa uliofungua ni kweli kata ya wilaya hii! Majina mengi yanapatikana mara kadhaa kwa mahali tofauti. Kama ni hivi, sahihisha kigezo cha kata za wilaya ipasavyo na kuanza makala mpya (mfano: unagonga "kata 1" kwenye wilaya "Pazuri" unakuta jina hili liko tayari katika wilaya nyingine. Hapa unabadilisha kigezo na jina kuwa "Kata 1 (Pazuri)" na kuanzisha makala hii. Angalia mfano wa Majengo na kata zinazoorosheshwa hapa)
  • Ukifungua makala angalia kama mtu aliweka nyongeza kuhusu kata. Hizi zinabaki! Kwa hiyo futa sehemu ya juu inayotaja jina, wilaya, mkoa na idadi ya wakazi pamoja na sehemu ya chanzo ( <ref> hadi </ref> na kuweka sehemu kutoka hapa chini, HALAFU unabadilisha pia sehemu ya "Marejeo" na yote katika mabano ya {{ au [[. Matini mengine unaacha juu ya "marejeo".