Wilaya ya Kilombero
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kilombero katika mkoa wa Morogoro.
Wilaya ya Kilombero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 322,779 [1]. Makao makuu ya wilaya hiyo ni mji wa Ifakara. Mji maarufu kwa utafiti wa ugonjwa wa malaria.
Marejeo [hariri]
Viungo ya Nje [hariri]
Jiografia ya bonde la Kilombero
| Kata za Wilaya ya Kilombero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | |||||
|---|---|---|---|---|---|
|
Chisano | Chita | Idete | Ifakara | Kibaoni | Kiberege | Kidatu | Kisawasawa | Lumelo | Mang'ula | Masagati | Mbingu | Mchombe | Mkula | Mlimba | Mofu | Sanje | Uchindile | Utengule (Kilombero) |
Mwaya}(Michenga)(Mngeta)(Kamwene)
|
||||