Wilaya ya Chake Chake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Chake Chake (kijani) katika mkoa wa Pemba Kusini.

Wilaya ya Chake Chake ni wilaya moja ya Mkoa wa Pemba Kusini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 83,352 [1]. Makao makuu yapo mjini Chake Chake.

Marejeo[hariri]

Viungo vya Nje[hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chake Chake kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Chake Chake - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Chachani | Chanjaani | Chonga (Chakechake) | Kilindi (Chakechake) | Kwale (Chakechake) | Matale (Chakechake) | Mgelema | Mvumoni | Ndagoni | Ng'ambwa (Pemba) | Pujini | Shungi | Tibirinzi | Uwandani | Vitongoji (Chakechake) | Wara | Wawi | Wesha | Ziwani (Chakechake)