Wilaya ya Bagamoyo
Mandhari
Wilaya ya Bagamoyo ni wilaya mojawapo za Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61300.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 230,164, waliongezeka hadi kuwa 311,740 wakati wa sensa ya mwaka 2012. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 205,478 [2].
Makao makuu ni mji wa kihistoria ya Bagamoyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sensa ya 2012, Pwani - Bagamoyo DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-10.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Bagamoyo - Mkoa wa Pwani - Tanzania | ||
---|---|---|
Dunda | Fukayosi | Kerege | Kiromo | Kisutu | Magomeni | Makurunge | Mapinga | Nianjema | Yombo | Zinga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |