Wilaya ya Bagamoyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.

Wilaya ya Bagamoyo ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani nchini Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 230,164 [1].

Makao makuu ni mji wa kihistoria ya Bagamoyo.

[hariri] Marejeo

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bagamoyo - Mkoa wa Pwani - Tanzania Flag of Tanzania.svg

KiwangwaMsataMionoMkangeMagomeniDundaKiromoZingaYomboVigwazaTalawandaChalinzeLugobaUbenazomoziMbweweKibindu

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine