Vahid Amiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vahid Amiri

Vahid Amiri (alizaliwa 2 Aprili 1988) ni mchezaji wa soka wa Irani anayecheza klabu ya Trabzonspor katika Süper Ligi. Amiri aliwakilisha timu ya taifa ya soka Iran katika Kombe la Afrika na Kombe la Dunia la FIFA 2018. Yeye hucheza sana kama winga wa Kushoto.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vahid Amiri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.