Uwanja wa mpira wa Sokoine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Mpira wa Sokoine ni uwanja uliojengwa mwaka 1984. Uwanja huu unatumika kwa matumizi mawili, kimpira na kufanyia hafla za kitaifa au mikutano. Uwanja huu unapatikana kata ya Sisimba mkoani Mbeya nchini Tanzania . Unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) [1].

Uwanja huu unatumika kama uwanja wa nyumbani na timu mbili ambazo ni Prison FC na Mbeya F.C

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-28. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.