Uwanja wa michezo wa Princess Magogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Princess Magogo Ni uwanja wa michezo unatumika kwa matumizi mbalimbali. Unapatikana uko KwaMashu Durban, South Africa. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu yaani soka. Pia ulitumika kama uwanja wa mazoezi kwa timu zilizo shiriki kombe la Dunia FIFA mwaka 2010 baada ya kufanyiwa marekebisho mwaka 2009 na kufikia viwango vya FIFA.

Uwanja huo umepewa jina la Magogo kaDinuzulu Princess Constance Magogo ambaye ni mtu wa asili ya Wazulu ambaye alitumia muda mwingi wa maisha yake kwenye muziki na kuendeleza tamaduni za Kizulu.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-18. Iliwekwa mnamo 2010-03-29.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Princess Magogo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.