Uwanja wa chuo kikuu cha Botswana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Chuo Kikuu cha Botswana ni uwanja wenye matumizi mbalimbali huko Gaborone,nchini Botswana, unaomilikiwa na Chuo Kikuu cha Botswana. Unatumika zaidi kwa mechi za [mipira ya miguu] na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa [Uniao Flamengo Santos F.C..] Uwanja huo una uwezo wa kubeba takribani watu 8,500.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa chuo kikuu cha Botswana kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.