Utekaji nyara wa Malari
Utekaji nyara wa Malari ulitokea tarehe 1 Januari 2015, ambapo Boko Haram, shirika la kigaidi lililoko kaskazini mashariki mwa Nigeria, liliteka nyara vijana 40 kutoka kijiji cha Malari huko Borno State, Nigeria[1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Aminu Abubakar and Greg Botelho CNN. "Villagers: Boko Haram abducts 40 boys, young men". CNN. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.