Utalii nchini Ivory Coast

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sekta ya utalii nchini Ivory Coast imekua kuanzia Manzoni wa miaka ya 1970. Nchi hiyo ilikua na vita da 11,374 kwenye vyumba 7,786 na vilipata wageni kwa asilomia 70 mwaka 1997. Mwaka 1998, kulikua na watalii 301,039 ambae watalii 73,000 walitokea Ujerumani, Ufaransa na Uingereza. Vivutio vinavyopatikana ni fukwe za bahari, vijiji, na kuoiga picha kupitia kutalii.

Hati za kusafiria zinahitajika ili kuingia nchini Ivory Coast. Pia inahitajika kupata chanjo ya Homa ya manjano kwa wageni wote. Mwaka 2002, wizara ya mambo ya nje ya Marekani ilikadiria wastani wa kukaa katika jiji la Abidjan ni $160 kwa usiku mmoja, ikilinganishwa na Yamoussoukro ambayo ni $98.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]