Usambazaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usambazaji (kutoka kitenzi "kusambaa") ni kitendo cha kusambaza huduma au vitu katika sehemu mbalimbali. Usambazaji unaweza kutumia mikono, vyombo vya habari, vyombo vya moto (magari, pikipiki n.k.), mtandao n.k.

Njia kuu za Usambazaji wa habari[hariri | hariri chanzo]

Kuna njia kuu mbili za usambazaji wa habari:

1. Mazungumzo.

2. Maandishi.