Upendo Furaha Peneza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka chama cha kisiasa cha CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la 11.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Upendo Peneza, mwenyekiti wa wabunge vijana aliyependa siasa akiwa shuleni, tovuti ya mwananchi.co.tz, 28 Mei 2017, iliangaliwa 29 Mein 2017