Umeå

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ukumbi wa Umeå
Umeå in Sweden.png

Umeå ni mji nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa kumi na mbili katika nchi wa Uswidi. Umeå ni mji mkuu wa mkoa ya Västerbotten. Kuna wakazi 75,645 (mwaka 2005).

[hariri] Jiografia

Eneo lake ni 33.46 km². Iko kando ya Ghuba ya Bothnia na Mto Ume.

[hariri] Vyuo vikuu

  • Chuo kikuu cha Umeå
  • Chuo kikuu cha elimu ya ukulima

[hariri] Viungo vya nje

Sverige FlaggKarta.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umeå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine