Tuzo za Majarida ya Muzik Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

African Muzik Magazine Awards (kifupi AFRIMMA) ni warsha ya utoaji wa tuzo za muziki wa Kiafrika inaofanyika kila mwaka na iliyoundwa kuwakaribisha na kusherehekea kazi za muziki, vipaji na ubunifu kote Afrika.[1] na inahusisha aina zote za muziki ikiwa ni pamoja na Afrobeats, Assiko, Bongo, Decale, Genge, Highlife, Kwaito, Lingala na Soukous.[2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Warsha hii ilianzishwa na mfanya biashara wa Nigeria Anderson Obiagwu na kunawasilishwa na Big A Entertainment. Sherehe ya kwanza ya tuzo ilifanyika Julai 2014 katika Kituo cha Eisemann huko Richardson, Texas.

Vipengele[hariri | hariri chanzo]

Warsha hiyo inajumuisha tuzo 28 zinazofuatilia mafanikio ya wasanii wa Kiafrika ndani ya mikoa yao maalum ya asili na tuzo za kidunia zinazohusiana na genre.

  • BEST MALE EAST AFRICA
  • BEST FEMALE EAST AFRICA
  • BEST NEWCOMERS
  • ARTIST OF THE YEAR
  • BEST LIVE ACT
  • BEST FEMALE RAP ACT
  • BEST MALE RAP ACT
  • BEST COLLABORATION
  • SONG OF THE YEAR
  • BEST VIDEO DIRECTOR
  • BEST DJ AFRICA
  • BEST AFRICAN DJ USA
  • AFRIMMA VIDEO OF THE YEAR
  • MUSIC PRODUCER OF THE YEAR
  • BEST AFRICAN DANCER
  • PERSONALITY OF THE YEAR
  • BEST MALE CENTRAL AFRICA
  • BEST FEMALE CENTRAL AFRICA
  • BEST MALE SOUTHERN AFRICA
  • BEST FEMALE SOUTHERN AFRICA
  • BEST MALE NORTH AFRICA
  • BEST FEMALE NORTH AFRICA
  • BEST MALE WEST AFRICA
  • BEST FEMALE WEST AFRICA
  • CROSSING BOUNDARIES WITH MUSIC AWARD
  • BEST GOSPEL
  • BEST FRANCOPHONE

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za Majarida ya Muzik Afrika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.