Nenda kwa yaliyomo

Jongowe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tumbatu Jongowe)

Jongowe ni miongoni mwa vijiji viwili vilivyomo ndani ya kisiwa cha Tumbatu, ambacho kipo kiasi cha meli 3 kutoka bandari ya Mkokotoni.

Jongowe ni kijiji cha kihistoria kilichomo ndani ya Wilaya Ndogo ya Tumbatu, Wilaya ya kaskazini A Unguja, Mkoa wa Kaskazini Unguja/Zanzibar-Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabika kuwa 3,821 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,367 waishio humo. [2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 238
  2. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-28.
Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania

Banda Kuu | Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Gomani | Jongowe | Juga Kuu | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigongoni | Kigunda | Kijini Matemwe | Kikobweni | Kilimani Tazari | Kilindi | Kinyasini | Kipange | Kiungani | Kivunge | Matemwe Kaskazini | Matemwe Kusini | Mbuyutende | Mchangani | Mchenza Shauri | Mkokotoni | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Mtakuja | Muwanda | Muwange | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Uvivini


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jongowe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.